KOZI YA MTANDAONI

CHISWAGALA ACADEMY: Kozi ya Mtandaoni kwa Njia ya Maandishi Jina la Kozi: SAUTI YAKO NDANI YA HADITHI – Njia 7 za Kuishi Maisha Yenye Kusudi MKUFUNZI WA KOZI: Rev. Valentino Chiswagala Mwandishi, Mchungaji, na Mhamasishaji wa Kusudi la Maisha Mwanzilishi wa Chiswagala Academy na Chiswagala Stories LENGO KUU LA KOZI: Kumsaidia mshiriki kutambua hadithi yake ya kipekee, kuiponya, kuielewa, na kuitumia kama daraja la utumishi, mafanikio, na ushawishi duniani. MUUNDO WA KOZI: Kozi ya wiki 7 Kila wiki utapokea: PDF ya somo la wiki hiyo Mazoezi ya kujitafakari binafsi Maswali ya kujitathmini Sala au tafakari ya wiki Majadiliano kupitia Telegram/WhatsApp Group (hiari) MADA KUU ZA KOZI (Wiki kwa Wiki): 1. Tambua Mwanzo Wako 2. Maumivu Yako ni Njia ya Mafanikio 3. Kipawa Kilichojificha Ndani Yako 4. Kusikia Sauti ya Ndani – Na Ya Mungu 5. Kikwazo Sio Mwisho 6. Watu Sahihi, Mahali Sahihi 7. Hadithi Yako ni Huduma BONASI ZA KOZI: Ebook ya "Sauti Ndani ya Hadithi" (PDF) Mwongozo wa maandishi: Jinsi ya kuandika hadithi yako kama kitabu au makala ya blogu NB: Kozi hii ni bure kwa sasa na inalenga kuwainua watu katika safari ya kugundua na kuishi maisha ya kusudi. #chiswagalastories #homeofbooks #viralreelschallenge #viralpost2025シ #somauelimike #HadithiZaKweli

Comments

Popular posts from this blog

KOZI:SAUTI YAKO NDANI YA HADITHI